DONNIE STORE TANZANIA

Karibu kwenye duka letu la Mtandaoni

Bidhaa bora na za kisasa mjini Dar es Salaam

Kuhusu Sisi

Karibuni sana Duka letu la DonniestoreTZ ujipatie bidhaa bora mjini Daslam. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Kongo na Narungombe. Ukishashuka mwendo kasi wa Msimbazi ukaingia mtaa wa Narungombe moja kwa moja hadi ghorofa la kwanza unakua ushafika.

Mahali Tunapopatikana

📍 Tuone kwenye Google Maps

Bidhaa Zetu

Angalia bidhaa zetu zilizopo dukani:

Vipimo Vilivyopo

Wasiliana Nasi

Tuna furaha kukusaidia! Tupigie simu au tuandikie ujumbe kupitia: